Nikweli UDOM wanatoa Diploma ya afya?

slmmfm

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
304
Reaction score
65
Kinachonitisha ni hizo sifa zao eti anatakiwa awe subsidiary mbili za masomo ya sayansi.
Hivi kwel nikisoma pale nitakua na soko kwenye ajira.

Naomben ushauri wenu.
 
soko linataka "Professional Competence" na sio "Academic Excellence" achana na sifa za kwenye makaratasi wakati u cant deliver
 
lakin vp kuhusu diploma ya medicine inaweza kunilipa vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…