Nikweli?

jompyain

Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
29
Reaction score
9
Kwakua sijafanikiwa kuwa na dume la rangi nyeupe mie wangu ni mweusi
nasikia weusi wanajoto na weupe wamepooza katika majambozzzzzzz. nikweli?.
 
Ebhanaeee!!duu....nitamuuliza mama renata (my wife) kama hii kitu inaukweli ndani yake.:eyebrows:
 
kweli kabisa... Yule atampa ufafanuzi wa kina from experience...
maana sisi hatujabahatika kuvuka bara la afrika.sisi tupo na mablack tu.mwenzetu keshavuka bahari
 
Kwakua sijafanikiwa kuwa na dume la rangi nyeupe mie wangu ni mweusi
nasikia weusi wanajoto na weupe wamepooza katika majambozzzzzzz. nikweli?.
Hiyo ni nadharia tu haina ukweli wowote,mapenzi yanabaki kuwa ni hisia tu hivyo ukipenda unakuwa umependa bila kujali kama yu moto au baridi.
 
we unae mweusi,

halafu unauliza tena ati unasikia weusi wanajoto,

huyo wako inamana hujampima?????

au unataka kujua kati ya mweusi na mweupe yupi anahusika ndo ujichagulie?????
 
ikitokea ukaambiwa weupe ndo wenye joto zaidi,utamuacha mweusi wako?
 
Njoo chumbani tujaribu ndio utapata jibu kama weupe tuna joto au la.
 
ingekuwa vema ungejaribu white maaana ya kuambiwa changanya na yakwako!!!!!
 
Kwakua sijafanikiwa kuwa na dume la rangi nyeupe mie wangu ni mweusi
nasikia weusi wanajoto na weupe wamepooza katika majambozzzzzzz. nikweli?.
Kwa hiyo ukishajua unatakaje?
 
we unae mweusi,

halafu unauliza tena ati unasikia weusi wanajoto,

huyo wako inamana hujampima?????

au unataka kujua kati ya mweusi na mweupe yupi anahusika ndo ujichagulie?????
hajui hata anachoongea huyu
 
Fanya majaribio utapata jibu zuri zaidi.
 
Hiyo ni nadharia tu haina ukweli wowote,mapenzi yanabaki kuwa ni hisia tu hivyo ukipenda unakuwa umependa bila kujali kama yu moto au baridi.
Joseph waache wahusika watupe jibu, au na wewe...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…