Nikweli?

maana sisi hatujabahatika kuvuka bara la afrika.sisi tupo na mablack tu.mwenzetu keshavuka bahari
ndo kusema yeye atakuwa ana experience na mablack pia? labda yeye ndo huyo mweupe tu, kwa hiyo hataweza kujibu kwa upande wa black
 
Kwakua sijafanikiwa kuwa na dume la rangi nyeupe mie wangu ni mweusi
nasikia weusi wanajoto na weupe wamepooza katika majambozzzzzzz. nikweli?.

kama white ni binadamu watakuwa na joto tu lakini kama unazungumzia chura na reptiles hao ni wabaridi!
 
kama white ni binadamu watakuwa na joto tu lakini kama unazungumzia chura na reptiles hao ni wabaridi!

Well said, hakuna ushahidi wa kisayansi unaoinesha hata .5 tofauti ya joto kati ya blacks n whites!
 
kwa hiyo shida yako ni joto tu basi? tumia heater
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…