Nassor Mussa
New Member
- Mar 9, 2017
- 4
- 4
(Nchi yangu Tanzania, nilalapo nakuota wwe) .ni moja ya mstari katika nyimbo ya kizalendo ya taifa la tanzania ukibeba kiu na ndoto za wananchi wake wenye kiu ya maendelo kwa taifa hili.
Tanzania inchi yangu inayo endeshwa kwa mfumo wa kidemokrasia pasina shaka na mfumo wa uongozi wa kiselikali unao ongozwa na raisi wan chi hii kwa sasa DR. SAMIA SULUHU HASSAN.
Ni Tanzania tuitakay inaweza kufanya mambo mengi ili kukuwa katika nyanja tofauti katika kukuza maendeleo ya nchi kwa kutekeleza mipango ya mdamlefu inayo tekelezeka. Hapa kuna baadhi ya hatua ambazo zinaweza kuchukuliwa ili kufikia ndoto na matamanioya kila mtanzania mwenye mapenzi ya dhati na taifa hili.
Kuwekeza katika Elimu na: Tanzania iongeze uwekezaji wake katika elimu na utafiti na maendeleo ili kukuza ujuzi wa wafanyakazi na uvumbuzi wa kiteknolojia. Lakini pia Kuwekeza zaidi katika miundombinu ya elimu, Kujenga shule na vyuo vikuu, kuimarisha maktaba na maabara, na kuhakikisha upatikanaji wa vifaa vya kufundishia. Kuboresha mafunzo ya walimu, Kuwapatia walimu mafunzo, Kuboresha mtaala, Kusasisha mtaala ili uendane na mahitaji ya soko la ajira na teknolojia za kisasa. Kuongeza ufikiaji wa elimu, Kuwekeza katika elimu ya ufundi na stadi za kazina Kuwahamasisha wananchi kuhusu umuhimu wa elimu, Kusaidia elimu ya watu wazima, Kuimarisha usimamizi na udhibiti, Kuhakikisha kwamba rasilimali za elimu zinatumika kwa ufanisi na kuzuia rushwa na ubadhirifu
Kuendeleza Sekta za Huduma: sekta za huduma kama vile teknolojia ya habari na mawasiliano, huduma za kifedha, na utalii, ambazo zinachangia kwa kiasi kikubwa katika uchumi wa taifa. Hivyo kurahisiaha upatikanaji wa huduma hizo kwa urahisi na uhakika itasaidia katika ukuwaji wa uchumi wa taifa la Tanzania

- Mpango wa Miaka Mitano na Zaidi; Mbinu hii imetumiwa nan chi tofauti katika kukuza uchumi wan chi zao mfano nchi ya China imekuwa ikiendesha mipango ya miaka mitano tangu miaka ya 1950, ambayo hujumuisha malengo ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Mpango huu hufafanua malengo ya ukuaji wa Pato la Taifa, viwanda, miundombinu, elimu, afya, na maeneo mengine muhimu. Pia serikali ya Tanzania inaapaswa kuwa na Bajeti na mipango yenye tija ya muda mrefu. Serikali kupitia wizara ya mipango inatakiwa kupanga mipango yenye tija kwa taifa kwaa jili ya malengo ya badae Kupitia wizara ya mipango kwa kushiriliana na wizara ya fedha na bajeti kuweza kuchakata mipango ya nchi yenye tija na kuangazia sehemu muimu za kukuza uchumi wa nchi kupitia utekelezaji wa miradi ya mdamrefu na yenye tija kwa jami yetu.
- Hapo chini ni picha inayo onesha ukuwaji wa kiuchumi wa taifa la tanzania ndani ya miaka 56 kwa kulinganisha na nchi ambazo maka 1960 zilikuwa zikitofautiana kidogo katika wastani wa pato la taifa ukilinganisha na mwaka 2016.
- WASTANI WA UKUAJI WA PATO LA TAIFA TANZANIA KWA KULINGANISHA NA BAADHI YA NCHI KAMA SOUTH KOREA NA CHINA NDANI Y MIAKA 56, s
- Source; Maddison project Database (2018)
- Sera ya Mageuzi na Kufungua Milango; Lengo la sera hii ni kuanzisha uchumi wa soko huria na kuvutia uwekezaji wa kigeni. Kwa kuanzisha maeneo maalum ya kiuchumi kama vile mikowa ambayo ni kitovu cha biashara, kwa kuanzisha sera za kodi na sera za biashara zinazofaa.
- Uwekezaji katika Miundombinu: uwekezaji mkubwa katika miundombinu kama vile reli, barabara, bandari, na nishati. Hii inaimarisha uwezo wa uzalishaji na usafirishaji wa bidhaa, na kusaidia kuchochea ukuaji wa uchumi.
- Kuongeza Uzalishaji wa Viwanda: Serikali ya Tanzania iweke msisitizo mkubwa katika kuongeza uzalishaji wa viwanda, kwa kuwekeza katika teknolojia, uvumbuzi, na kukuza sekta zinazohusiana na teknolojia. Lakini pia kwa kuzingatia maendeleo ya viwanda vya kiwango cha juu kama vile elektroniki, magari, na vifaa vya usafiri. Kwa kuweka sera za serikali kama vile ulinzi wa soko la ndani na misaada ya serikali kwa makampuni ya ndani ili kukuza viwanda hivyo.
Kuwekeza katika Elimu na: Tanzania iongeze uwekezaji wake katika elimu na utafiti na maendeleo ili kukuza ujuzi wa wafanyakazi na uvumbuzi wa kiteknolojia. Lakini pia Kuwekeza zaidi katika miundombinu ya elimu, Kujenga shule na vyuo vikuu, kuimarisha maktaba na maabara, na kuhakikisha upatikanaji wa vifaa vya kufundishia. Kuboresha mafunzo ya walimu, Kuwapatia walimu mafunzo, Kuboresha mtaala, Kusasisha mtaala ili uendane na mahitaji ya soko la ajira na teknolojia za kisasa. Kuongeza ufikiaji wa elimu, Kuwekeza katika elimu ya ufundi na stadi za kazina Kuwahamasisha wananchi kuhusu umuhimu wa elimu, Kusaidia elimu ya watu wazima, Kuimarisha usimamizi na udhibiti, Kuhakikisha kwamba rasilimali za elimu zinatumika kwa ufanisi na kuzuia rushwa na ubadhirifu
Kuendeleza Sekta za Huduma: sekta za huduma kama vile teknolojia ya habari na mawasiliano, huduma za kifedha, na utalii, ambazo zinachangia kwa kiasi kikubwa katika uchumi wa taifa. Hivyo kurahisiaha upatikanaji wa huduma hizo kwa urahisi na uhakika itasaidia katika ukuwaji wa uchumi wa taifa la Tanzania
- Kuhamasisha Uwekezaji wa Kigeni: Serikali ya Tanzania haina budi kuhamasisha uwekezaji wa kigeni kwa kutoa misamaha ya kodi na ruzuku, na kujenga mazingira mazuri ya biashara kwa makampuni ya kimataifa.
- Utawala Bora na Usimamizi wa Uchumi: Serikali ya tanzania inatakiwa kuimalisha utawala bora na usimamizi wa uchumi, ambao utasaidia kudumisha utulivu wa kiuchumi na kuwavutia wawekezaji wa ndani na wa kimataifa. Mfano hivi kalibuni Tanzania imekuwa ni nchi inayosifika kw amani na utawala bora hivyo imechochea wafanya biashara wengi kutoka mataifa mbalimbali kuvutiwa na uwekezaji katika nchi ya Tanzania
- Sera za Fedha: kuwa na Benki Kuu ambayo inasimamia sera za fedha na uchumi kwa ujumla. Sera za fedha hutumika kudhibiti mfumuko wa bei, kuchochea ukuaji wa uchumi, na kudumisha utulivu wa kifedha na kuhakikisha samani ya pesa ya Tanzania haishuki samani kwa kuanzisha sera za kimkakati zenye lengo la kupandisha samani ya pesa ya Tanzania mfano katika sekta ya utalii kuzuia malipo ya watari wa kigeni kwa pesa kigeni na kulipa kwa pesa ya Tanzania,hivyohivyo katika ununuwaji wa mahitaji muimu ya serikali
TANZANIA TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE
8279 word.
8279 word.
Upvote
3