kimpango
JF-Expert Member
- Apr 24, 2011
- 600
- 717
Kama mjuavyo binadamu anatumia muda wa zaidi ya robo tatu ya maisha yake yote kulala, mimi binafsi nimekuwa nikilala kwa shida nikiamka maumivu ya mgongo, shingo na uchovu, stress nimeona shida ni godoro ninalolalia, nilinunua miaka minne iliyopita halina label though lina kava.
Naombeni ushauri nilalie godoro aina gani kutoka kiwanda gani ili nipunguze haya matatizo na maumivu, nitajie ukiwa na experience ya kulilalia nyumbani kwako, kwa jirani, hotelini au popote.
Naombeni ushauri nilalie godoro aina gani kutoka kiwanda gani ili nipunguze haya matatizo na maumivu, nitajie ukiwa na experience ya kulilalia nyumbani kwako, kwa jirani, hotelini au popote.