Nilalie nini kupunguza maumivu ya mgongo?

kimpango

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
600
Reaction score
717
Kama mjuavyo binadamu anatumia muda wa zaidi ya robo tatu ya maisha yake yote kulala, mimi binafsi nimekuwa nikilala kwa shida nikiamka maumivu ya mgongo, shingo na uchovu, stress nimeona shida ni godoro ninalolalia, nilinunua miaka minne iliyopita halina label though lina kava.

Naombeni ushauri nilalie godoro aina gani kutoka kiwanda gani ili nipunguze haya matatizo na maumivu, nitajie ukiwa na experience ya kulilalia nyumbani kwako, kwa jirani, hotelini au popote.
 
Ila kwa aina yoyote ile tafuta orthopaedic matress
 
Tafuta magodoro magumu yale kama wanayotumia wachina.
 
Nitafute nipate kukutibia upate kupona maradhi yako.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…