HahahaahahahahaUnaonaje kama utaacha kula kabisa badala ya kutafuta tena chakula kingine cha kukufanya upungue? Yani punguza ule muda wakubunja bunja badala yake kula mlo mmoja kwa siku kisha shushia na juisi iliyotengenezwa kwa pilipili
habari wanajf.mimi ninatatizo la unene .miaka yangu ni 40 na urefu kama fut 5.uzito km kilo 90.nilikwenda kwa doctor akaniambia nipunguze uzito .sasa sijui nile diet ngani ili nipugue ?naomba mnisaidie wakuu kuhusu diet??iwe inayopatikana kwa urais plz
Unaonaje kama utaacha kula kabisa badala ya kutafuta tena chakula kingine cha kukufanya upungue? Yani punguza ule muda wakubunja bunja badala yake kula mlo mmoja kwa siku kisha shushia na juisi iliyotengenezwa kwa pilipili
Khaaaaaa....... ungekuwa daktari tungekoma
Na ungekuwa unakuja na kaugonjwa kasikoeleweka nakutundikia dripu ya ulimi tu
habari wanajf.mimi ninatatizo la unene .miaka yangu ni 40 na urefu kama fut 5.uzito km kilo 90.nilikwenda kwa doctor akaniambia nipunguze uzito .sasa sijui nile diet ngani ili nipugue ?naomba mnisaidie wakuu kuhusu diet??iwe inayopatikana kwa urais plz
mayoweeeee drip ya ulimi sindio hapo unamrahisishia israel kazi...mweeeee,mweeeeeeeeeeeeeeNa ungekuwa unakuja na kaugonjwa kasikoeleweka nakutundikia dripu ya ulimi tu