litutumbwe
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 642
- 1,303
Wazima vijana wenzangu kwa wazee? Kutokana naukweli kwamba wanga si mzuri natujitaidi kuupiga vita... binafsi nimeona kabisa naelekea pabaya,mpaka nishibe basi ni unga robo tatu wa dona na kilo moja wa sembe,na nyama choma kilo moja unusu
Imagine apo naconsume starch kiasi gani kwa mwezi... nataka niache ugali,naomba nifahamishwe upi ni mbadala waugali?ila usiwe wali tafadhali,wali nao ni wanga na nataka niachane nao.
Toweni ilmu kwafaida yawengi... asanteni sana