litutumbwe
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 642
- 1,303
Watu wasiokula chakula chenye wanga kwa wingi vitandani wako nyoronyoro kwenye mapenzi hawana nguvu kabisaNgano isiyokobolewa! Ila unatakiwa upunguze kiwango cha starch/carbohydrate na badala yake ule sana mboga za majani , nyama nyeupe iliyotolewa ngozi kama kuku , matunda kwa wingi na maji ya kutosha.
Nani kakwambia?Watu wasiokula chakula chenye wanga kwa wingi vitandani wako nyoronyoro kwenye mapenzi hawana nguvu kabisa
Hukusoma kuhusu vyakula gani vya kutia nguvu mwilini? Ili mwili uwe na nguvu? Hizo nguvu hujui kuwa zunahitajika hadi kitandani kwenye mapenzi?Nani kakwambia?
Sio mbadala wa ugali huoKula mbogamboga
Kula mihogo, magimbi, ndizi na waliWazima vijana wenzangu kwa wazee? Kutokana naukweli kwamba wanga si mzuri natujitaidi kuupiga vita... binafsi nimeona kabisa naelekea pabaya,mpaka nishibe basi ni unga robo tatu wa dona na kilo moja wa sembe,na nyama choma kilo moja unusu
Imagine apo naconsume starch kiasi gani kwa mwezi... nataka niache ugali,naomba nifahamishwe upi ni mbadala waugali?ila usiwe wali tafadhali,wali nao ni wanga na nataka niachane nao.
Toweni ilmu kwafaida yawengi... asanteni sana
NashukuruKula mihogo, magimbi, ndizi na wali
Kwann isiwe mbadalaSio mbadala wa ugali huo
Hiyo mikoa wala hivyo vyakula wanawake wanaongoza kwa michepukoKula mihogo, magimbi, ndizi na wali
Kwa hiyo wewe umejaza kichwani 'kumridhisha mwanamke' tu?Hiyo mikoa wala hivyo vyakula wanawake wanaongoza kwa michepuko
Kuwa wanaume wao hawawaridhishi
Vyakula hivyo vinaongoza kuzalisha wanaune wasio na nguvu kitandani mfano ni Kagera ,mikoa ya Pwani nk wanawake wengi wamejaa kila kona ya nchi kutafuta wanaume walio fit vitandani sio waka hivyo vyakula
Wala hivyo vyakula hawawaridhishi wanawake zao vitandani
Awe Mwanamke au mwanaume haolewi au kuoa kuuza sura kuoa au kuolewa na mwanaume au mwanamke kwani kwake alikuwa hali wakati mnaoana?Kwa hiyo wewe umejaza kichwani 'kumridhisha mwanamke' tu?
Hahahaha YehodayaAwe Mwanamke au mwanaume haolewi au kuoa kuuza sura kuoa au kuolewa na mwanaume au mwanamke kwani kwake alikuwa hali wakati mnaoana?
Kuolewa au kuoa sio kuuza sura na mapaja chumbani ni hadi kieleweke huko kitandani
Kama ni kula chakula kwao alikuwa anakula ndio maana ukamkuta yuko vizuri awe mke au mume
Alichofuata kwako ni kitandani sio sijui matunda sijui juice kwao katoka vilikuwepo vyakula vyote ikiwemo ugali nk anachohitaji kwako ni kuridhika kitandani sio porojo huwezi jiandae ataenda michepuko na usipige yowr akichepuka