Niletee CV yako haraka!!!! nikafurahi

Watanzania tuna matatizo nchi nzima ni customer complication hakuna customer care yaani mtu anakusudia kkukunyima kitu alafu anakutafutia sababu yaani ni upuuzi mtupu nchi imeoza.
 
Aisee benki sio sawa na chuoni; hakuna kitu kama what is ........... halafu umalizie, ni lazima ujue english (kasome short course na upate cheti uambatanishe na hivyo vya elimu ya juu)
 
Ma-Hr Siyo wajinga mkuu,ndy vile tena upenyo mdogo na watu kibao wanataka kazi. Imagine mtu mwingine ananvyo kama ww,except hiyo D yako yeye ana A bado unataka wakupe ww tu kazi? Kuwa na aibu,utakula ulicho panda ww omba mungu tu. Usimlaumu Dobi wkt rangi ya kaniki unaijua mkuu Look for another pasture
 
Bora ww ulipata majibu jana hiyo hiyo sisi tulienda omba kz UDOM mpaka leo majb hakuna labda hatujui Kiswahili lugha ya Taifa
 
niombee kwa jamaa yako na mie anipigie pande,nna A ya english!!!sasa tuone wanatafuta sababu gani
 
wewe ukiaply kazi then ukamkuta HR ambae hana ata izo marks ulizonazo usitegemee kuajiliwa hapo.alafu kama hujui udini umeshamili sana makazini, mkristo hatoi kwa muislam na muislam hatoi kazi kwa mkristo uo ndo ukweli na nna maevidence ya kutosha
 

CV ulipeleka na transcripts zako? walionaje hizo grades?
Pole lakini, usikate tamaa mkuu.
 
 
Wengine wanazingua unaweza ukakuta hzo cv zako kuna mtu anapiga kazi alikua anataka kumuingizia ndugu yake coz me baba yangu mdogo ilimtokea km hvyo kapeleka cv anaona cku zinaenda haitwi anafuatilia anakuta kuna mtu anatumia jina lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…