Niletee kichwa upate mshiko.

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,830
Reaction score
4,729
Habarini wadau, nina blog inayotembelewa na wadau mpaka 36,000 kwa siku, pia nina page yenye zaidi ya likes 33,000 na group lenye zaidi ya watu 13,000 kama upo dar au mkoa mwingine ambapo watu wanapenda kutangaza biashara na huduma zao kupitia mtandao ni pm nikupe maelezo. blog yangu ni www.kijiwechawasomitz.com
 
Rekebisha kichwa cha habari, huenda watu wanadhani unataka kichwa cha mtu au albino
 
Kichwa cha mada yako ni kama vile wewe ni mpiga ramli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…