Niletee sarafu za Nyerere za 1976,1979

huu ni utapeli flani wa kizamani ila kwa kuwa kuna shida sna siju hizi sitashangaa watu wakikamatika
 
Masharti ya mganga huwa ni magumu mno.

Poise, nimetubu na kumwamini Yesu Kristo hizo habari sizitaki kabisa na huwa siziamini katu.
 
Mchezo utakuwa hivi.
Step 1

Anaweza kweli akanunua hyo sarafu kwa milioni moja..then akakuambia umtafutie zingine tano au kumi kwa the same price..
At the same time atakua ameshakusoma..
Step 2
Wewe kwa upoyoyo wako utaingia mtaani kuzisaka kwa bei ya chini..atakutafutia mtu kwa siri na atataka kukuzia hzo sarafu kwa bei ya chini ili ukamuuzie huyo jamaa..yeye atakuuzia lets say laki tano ( 500,000* 5=2,500,000) hapo atakua ameshakupiga coz utakapozinunua hautampata tena wa kumuuzia..so atakua amerudisha ela yake na faida juu
.Deal done
 
Sure!!! Hapa mkuu nmekuelewaa.
 
Hii biashara sio nzuri. Wenzetu Kenya wameanza ufugaji wa konokono na wanasema wateja ni wengi! Vipi tukianzisha ufugaji huu kisha tukawauzia?
 
Sarafu za Kenya zenye picha Simba mbili zikiwa zimesimama kwa miguu yanyuma ninazo aezinunua aseme bei nikilidhika atapata 0688787828



natafuta ya 1975,1976,1977-1988 hiyo ya Kenya ikiwa na Simba2
 
Yaani shilingi moja each utanipa milioni moja?
 
hata mambo kumbe bado yapo? kama yataachwa yaendelee viwanda tutavisikia kwa jirani
 
Mmmmmh unauhakika wa kutoa milioni mm ninayo hio sarafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…