NILHAM RASHED lini unarudi mpenzi?

Mkuu, je umefuata sheria ya hatimiliki kwa hizo beti mbili za mwisho?
 
Naona hapo nakupenda nakupenda nyingi....mkuu usionyeshe sana utakuja kuteswa na usiwe na hamu na hiyo love......
 
Percy Sledge alichemsha bongo kisawasawa

When a maaaaaaaaaaaaaaan loves a wooooman . . .
 
Naona hapo nakupenda nakupenda nyingi....mkuu usionyeshe sana utakuja kuteswa na usiwe na hamu na hiyo love......

Tabu sana Wallahi, yaani usipoonyesha mapenzi unatiliwa shaka ukionyesha yanakuwa kama hayo usemayo hata sijui nifanyeje na nimesha mwambia.
 
Percy Sledge alichemsha bongo kisawasawa

When a maaaaaaaaaaaaaaan loves a wooooman . . .

We acha tu Kaka ndio nimegundua kumbe ndio maana watu huwa hawasikii hawaoni, mapenzi ugonjwa mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…