Moyo wangu unauma mimi ndie nilieanza kukuchombeza
Kikakupa tahadhari machozi si kupenda
Leo iweje uwe unamchombeza?
Sina tena hamu jamvi kuliendeleza
Naona tabu nataku kudekezwa
Sema watania msije kunipoteza :A S 20::A S 20:
Moyo wangu unauma mimi ndie nilieanza kukuchombeza :A S 20:
Kikakupa tahadhari machozi si kupenda
Leo iweje uwe unamchombeza?
Sina tena hamu jamvi kuliendeleza
Naona tabu nataku kudekezwa
Sema watania msije kunipoteza :A S 20::A S 20:
Ngoja niwaleteeni Dua la Nguvu kuwaombea NILHAM na HASHYCOOL ktk mapenzi yenu
shossi.....cheza...mbali!
tutamjulisha!
oooppps mohammed abuy mbona wataka haribu jamani???:A S 20::A S 20::A S 20:
Waja nishikeni nisije jinyonga
Maisha hayana bila Nilham hayatanoga
Hukumbuki tenzi nilizozitoga
Mbona huna ihsani umegeuka kinyonga?????????
How sweet
Ingekuwa vizuri kama tungeona
Machozi hapa juu....lol
malenga bora lenga kwingine!l.o.l
aaah tumetoka mbali sie bana...l.o.l
hehehhehhh alisha anza kula tangu mwanzo....ashindwe kumalizia....hebu tulio na mke mwenza yupi huyo ??? nnavyojua ni peke yake kwake..hehehehh yule nimjuae mie alipigwa joke tuu...hehehehehh usiturudishe nyuma cpu loll... hebu tuombee dua huko..
jaribu kaka!