Nili-underestimate Shogun: Ni kali

Nili-underestimate Shogun: Ni kali

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Ndio kwanza nipo Episode ya 5 kati ya 10. Ila hii series kali.
images (45).jpeg


Kupewa rate ya 8.7/10 haki yake.
 
Sawa mkuu ngoja niipakue kwa kua umesema ni kali japo naonaga kama wakorea huwa ni wachovu kwenye ulingo wa movie🤔
Kali aisee. Jaribu episode 3 tu za mwanzo unapata story.
 
Wenzako wanahadithia hata kidogo .
 
Back
Top Bottom