Uliacha chuo kiaje mkuu fafanua hapo..
Ukifukuzwa?? Au uliacha tu kwenda bila taarifa yoyote?? Kma ni kwa sababu hizo sidhani kama utapata cheti chochote coz unahesabika sio mwanafunzi wao.
Ila kama uliandika barua ya kusimamisha masomo kwa muda flani labda unaweza kupata higher diploma kama mdau alivosema hapo.
Zaidi nenda ufatilie hapo chuoni kwenu. Sometimes vyuo huwa vinatofautiana sheria zake.