Niliacha pombe sasa hivi nimerudia ulevi tena

HUKUACHA. ULIPUMZIKA SABABU ULIKUWA MAJALALA. UNGEACHA USINGERUDIA.
 
Yeyote mwenye ushauri nk aje tu DM NB Niko mwanza
 
Pole sana comrade. Mtu ambaye hajawahi kupitia hii stage hawez kuelewa.

Jitahid kuepuka kampani za pombe, jaribu kubadili na mazingira ya kunywa.
Kulewa hivyo wakati mwingine inachochewa sana na stress. Badili aina ya maisha. Kama unamke, ni vyema uwe karibu nae, wanawake ni controller wazur sana.
 
Pole sana
Tatizo si pombe
Kuna ""trigger"inayokusukuma wewe ili uende kunywa pombe....
HILI NI SOMO KUBWA...
Huwezi kuelewa kirahisi.....lakini suluhisho lipo....TATIZO LIPO KWENYE ROHO SI KWENYE MWILI.
 
Pole sana mkuu kwa kuwa mlevi wa pombe na yakupasa kupambana ili uwe mnywaji wa pombe.

Mlevi wa pombe ni yule anayekunywa kupita kiasi lakini mnywaji wa pombe ni yule anayekunywa kistaarabu na kiafya zaidi.

Mkuu anza kwanza kupunguza company ya kuhange out na walevi wenzio hasa maeneo ya Bars au Pubs,tenga muda wako mwingi kwa kujikeep busy na vitu vya msingi ktk maisha yako.

Pili jifunze namna ya kupunguza idadi ya chupa za bia unazokunywa i.e kama mwanzo ulikuwa unakunywa chupa 5 na kulewa basi zipunguze mpka kufika chupa 2 ambazo ukizimaliza hakikisha unaondoka eneo hilo na kurudi nyumbani.

Wekeza akili na mawazo yako ktk shughuli za kujitafutia riziki kwako na kwa familia yako ili kujiweka mbali na mawazo au vishawishi vya kutamani kulewa kila saa.

Fanya mazoezi pia ili kuimarisha afya yako ndugu yangu,nyakati za jioni it's better huende for evening jogging ili kupoteza kabisa muda wa wewe kwenda kushinda bar.

Then kubaliana na hali ya kutaka kubadilika(Amini kwamba unaweza kuacha tabia ya ulevi kupindukia).Hii itazidisha mapambano yko binafsi dhidi ya kitu kinachoitwa pombe.

When you earns month's salary make sure you divide it well,igawanye ktk matumizi ya kifamilia au kibiashara zaidi na itakayobaki kama akiba itumike kama pesa ya kukusaidia wakati wa matatizo mbalimbali mfano kutibia watoto wako wakiumwa n.k,usije ukathubutu kusema fedha ya akiba uitumie kwa starehe eti kwa kuwa ulishafanya mgawanyo wa matumizi maana ukifanya hivyo utaharibu zaidi na zaidi.

Tafuta company ya watu sahihi zaidi ktk maisha yko,watu ambao watakusaidia kukutoa na kukuza kimawazo kutoka hapo ulipo kwenda sehemu nzuri zaidi hasa kiafya,kiuchumi na kijamii na hata kidini pia.

Usiache pia kumwomba Mungu Muweza wa yote ili akuongoze kwenye njia zilizo sahihi na azidi kukupa nguvu na majibu ya maombi yako.

KILA LA KHERI🙏
 
Tafuta kitu kingine cha kufanya km Pombe, mfano nitakupa mtu yoyote anaepiga nyeto akianza kutomba malaya na akawa na uhakika wa kutosha wa kutombana na malaya yoyote anaemtaka kila anapohitaji yeye, mtu huyu anaacha mara moja kupiga nyeto basi malaya waheshimiwe popote walipo wanaokoa majanga mengi sana yanayowasibu watu, huo nimekupa mfano hai sio mfano mfu
 
Nina kaka yangu, blood brother akitoka yeye kuzaliwa nafata mimi, jamaa amekuwa mlevi hatari, mbaya zaidi anaishi na mwanamke wake ambaye wana watoto wawili, imefika hatua, mwanamke anataka kuondoka na watoto arudi kwao akaanze maisha upya,
Mind you "Huyu brother ninaye muongelea hapa kipindi tukiwa wadogo, yeye ndo alikua na tabia njema na darasani alikua bright mno,
Sisi ndugu zake wengine wakati mzee akituchapa fimbo, huyu brother wangu alitumika kama mfano wa tabia njema
 
Usiache pombe ,pombe haina tatizo. Tatizo ni kubwa aidha anakunywa pekee yako au anakunywa na watu wasio sahihi. Kama unakunywa mpaka unapoteza simu jua kuna hayo mawili hapo juu unafanya. Ukisharekebisha haya mambo ndio utajua unapokosea.
 
Unazungumzia pombe zisizo na ubora, kama za huko rombo na kaskazini yote, na kuna k-vant zile ukinywa zinakata chini hapo hapo, tofauti na zenye viwango wewe kwanza zinaongeza stamina
 
Wakati mwingine kampani za masela ni kipengele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…