Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Basi huacha kwa kudhamiria bali kwa hofu, thamiria sasa kuacha , anza kuondoa vishawish, kama marafiki, au madem chochote kile kinachokupelekea kurudi hukoNilikoswa kugongwa na gari
Pole bro.Jana nimepoteza Hadi simu mkuu na sijasikitika Wala kusononeka sijui nani nilimpa
Bora nimekutana na ndugu yangu leo.. Mimi ni kama wewe kaka, kila kitu ulichoeleza hapa.. Kwa kweli hata mimi napambana sana kuondokana na pombe lakini hadi sasa imekuwa kikwazo.Wakuu habari za mda huu
Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo
Najichukia nilivyo
Kwanini aache 😂😂😂😂Basi huacha kwa kudhamiria bali kwa hofu, thamiria sasa kuacha , anza kuondoa vishawish, kama marafiki, au madem chochote kile kinachokupelekea kurudi huko
And yes inawezekana
Anza kuounguza kidogo kidogo
Hahah... mulemule kama mimiNapendelea sana safari na konyagi
Pole na ww bro.Bora nimekutana na ndugu yangu leo.. Mimi ni kama wewe kaka, kila kitu ulichoeleza hapa.. Kwa kweli hata mimi napambana sana kuondokana na pombe lakini hadi sasa imekuwa kikwazo.
Tatizo bia kama hizi castle lite naona zinajaza tu tumbo kichwa kinachelewa kuwaka... safari ina ukali wakePole na ww bro.
Ila mbona bia ukinywa kistaarabu haina shida sana.
Kunywa kama kufurahia, na kupoteza muda na kunywa bia unayoimudu.
Kvant, Konyag na safar na zile ngumu kwanza unaamka asubuh umechoka na hangover juu.
Kwann kujitesa namna hii.
Kuacha pombe siyo kunywa kidogo. Huko siyo kuacha pombe.Hizi zote kali bro.
Kunywa safar ndogo . Jiwekee Limit ili usiwake sana, labda iwe weekend.
Kwasababu ww hunywi sio?.Endelea kunywa mkuu.
Kuna dogo flani alioa ex wangu, halafu akawa anakunywa pombe balaa, wakimwambia acha pombe anasema bora kuacha mke kuliko kuacha pombe.
Binti akaona ya nini mimi nife na utamu wangu, akaniletea mwenyewe kwa kunibembeleza, baba naomba unile, jamaa hanifanyi chochote. Sasa najilia vyangu na dogo analea familia yangu kiroho safi.
Kuna mwingine tena anaendekeza ulevi, mimi namsaidia kutunza mke. Huyu ananifurahisha sana anajua kuimba akishika microphone hadi raha.
Changanya Konyag ndogo na castle lite.Tatizo bia kama hizi castle lite naona zinajaza tu tumbo kichwa kinachelewa kuwaka... safari ina ukali wake
Asante kwa ushauri mlevi mwenzanguChanganya Konyag ndogo na castle lite.
Mm natumia hii toka 2014 hiv.
Ingawa unakunywa nying ila unaamka poa asubuh. Ina nipa vibe tu.
Nikipiga castle lite zangu 7-10 nakaa poa kabisa.
Ila wewe jamaa 😅 ndiyo asili yetu wabongo, hatusaidii hua tunajisifu tuAlcohol free since January 1 2024.