Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
Pilsnerπππ pole bro.
Ila hujarogwa.
Jitahidi tu kuicontrol.
Kama uliweza kwa mwaka 1. ipo siku utaacha tena kwa miaka 2, na baadae utaweza miaka 5 na baadae utaacha kabisa.
Bia gan unatumia?
Hapana.Ila wewe jamaa π ndiyo asili yetu wabongo, hatusaidii hua tunajisifu tu
Ni kama jirani yako aje kukwambia kamkumbuka marehemu mama yake halafu wewe jibu lako ni "Just talked to mine ten minutes ago"
Tukutane ijumaa kinondoniPole sana mkuu, hatujuani tu ila tungekuwa tunajuana weekend tungetafuta bar moja tunyweeee huku tunawaza na kujadili ni jinsi gani tutaachana na pombe.
Mi sijaona negative mi nimeona kichekesho bruvHapana.
Wewe ndiye una tabia za wabongo za inferiority complex na kuona negative kwenye kila kitu.
Huo ni ujumbe wa inspiration kwamba jambo la kuacha pombe linawezekana. Na tulioacha tupo hapa wala si hadithi za ajabu.
That's worse than seeing a negative.Mi sijaona negative mi nimeona kichekesho bruv
Ushatumia pombe inaitwa bongo doniWakuu habari za mda huu
Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo
Najichukia nilivyo
Basi tumia kaitaba toka mkoa wa kageraHapana
Hongera.Wakuu habari za mda huu
Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo
Najichukia nilivyo
Na ulisema kweli mkuu mwaka Jana nakumbuka, ila Mimi kwa kweli nimeshindwa nilijikaza miezi mitatu nikarudi!!Alcohol free since January 1 2024.
Ukiamua utaacha tu wala hakuna haja ya kukushauri sana.Na ulisema kweli mkuu mwaka Jana nakumbuka, ila Mimi kwa kweli nimeshindwa nilijikaza miezi mitatu nikarudi!!
Sihitaji ushauri wa namna ya kuacha Wala maombi ya wachungaji na mashehe Wala dawa yoyote
Siku nikiamua kuacha nitaacha tu
Hii unayochatia hapa, ya nani? MmmhJana nimepoteza Hadi simu mkuu na sijasikitika Wala kusononeka sijui nani nilimpa
Anisaliti kwani ni mke wangu?Kwasababu ww hunywi sio?.
Mwanamke huyo huyo ambaye anamsaliti mume wake kwa ajili ya pombe ipo siku atakusaliti na ww ambae haunywi.
Ndio utajua pia Maranyingne usaliti wanawake wanasingizia kitu chochote Ili kutimiza adhima yao.
Hivi hizi story za kuwa walevi hawamudu tendo la ndoa mnazitoa wapii? Sijawahi amini hiki ktu kabisa.Endelea kunywa mkuu.
Kuna dogo flani alioa ex wangu, halafu akawa anakunywa pombe balaa, wakimwambia acha pombe anasema bora kuacha mke kuliko kuacha pombe.
Binti akaona ya nini mimi nife na utamu wangu, akaniletea mwenyewe kwa kunibembeleza, baba naomba unile, jamaa hanifanyi chochote. Sasa najilia vyangu na dogo analea familia yangu kiroho safi.
Kuna mwingine tena anaendekeza ulevi, mimi namsaidia kutunza mke. Huyu ananifurahisha sana anajua kuimba akishika microphone hadi raha.
Ina maana uliamua kwelikweli,unaweza usinywe Tena mpaka mwisho wa maisha yako!Ukiamua utaacha tu wala hakuna haja ya kukushauri sana.
Na kama hujaamua hata tukikushauri sana hutaacha.
Mimi tangu siku zile nina bia kwenye friji la garage, nina Scotch, nina wine, nina Tequila, nina Vodka, lakini sijagusa hata moja naziangalia tu kila siku.
Mrudishie mzee wako kishikwambi chake, unataka na hiko ukapoteze huko bar? LolNatumia kishikwambi Cha Mzee wangu si unajua Bado naishi home