mangimtori
Member
- Jan 17, 2025
- 13
- 9
ukipata ujumbe huu naomba unitafute naweza kuwa msaada kwako maana unaonyesha kujutia hiyo hali na unatamani kuacha, ni ngumu lakini ni rahisi kama umeamua kuacha. Nitafute 0717 551211 na 0767 551211Wakuu habari za mda huu
Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo
Najichukia nilivyo
Unataka kuacha pombeWakuu habari za mda huu
Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo
Najichukia nilivyo
Ngumu kuona kwenye fridge una wine na beer na other spirit alafu still unaweza kuendelea na mfungo wa kuto kunywa eg. Una alikwa kwa mtu/ ama tafrija na watu/wadau wanywaji alafu wewe unakunywa maji,juice ama soda ni ujasiri sanaa.Alcohol free since January 1 2024.
Pombe sio kwa watu woteeee.uraibu wowote ule unaushinda wewe binafsi na kuamua kwako tu,..... mpumbavu pekee ndio hushindwa kuishinda tamaa yake,........huwa nashangaa sana watu wanasema natamani sana kuacha kunywa au kula kitu fulani maana vina madhara fulani, lakini kuacha nashindwa, huko ni kujiendekeza kwako tu,....
uko sahihi mkuu,..... kama ningekuwa na mentality waliyonayo hawa wavivu, huenda leo ningekuwa mlevi wa kutupwa na mvuta sigara na bangi hatari, bila kusahau maenergy drinks, pepsi....lakini hivyo vyote niliamua tu kuwa naacha kutumia na nikaacha yapata miaka mingi sasa,.....kikubwa ni kuangalia FAIDA na HASARA ..then unachagua mwenyewe upande ukufaao,...Pombe sio kwa watu woteeee.
Mimi nakunywaga for recreational purposes Tena jioni baada ya kazi huwa na kunywa konyagi ndogo moja inanitosha Sanaa
Na siongezi chochote baada ya hapo nimeweza ku maintain ivyo miaka Sanaa
min -me
Congratulations hommie,Alcohol free since January 1 2024.
Kuna watu akianza kunywa pombe yaani hashauriki yaan anakunywa mpaka anapoteza network mtu mpaka ana sahau mlango anataka kupitia kwenye ukuta.uko sahihi mkuu,..... kama ningekuwa na mentality waliyonayo hawa wavivu, huenda leo ningekuwa mlevi wa kutupwa na mvuta sigara na bangi hatari, bila kusahau maenergy drinks, pepsi....lakini hivyo vyote niliamua tu kuwa naacha kutumia na nikaacha yapata miaka mingi sasa,.....kikubwa ni kuangalia FAIDA na HASARA ..then unachagua mwenyewe upande ukufaao,...
hawa ndo ninaosema wanajiendekeza,..na ni WAPUMBAVU hakika,.....ukiwa TIMAMU na mwenye kujua madhara ya ulaji na unywaji mbaya, ni lazima uwe na uwezo wa ku-control ulaji wako na unywaji pia,......unakuta mtu amenenepeana kwa kula hovyo kama nguruwe, kutembea kidogo tu anahema utadhani ananyongwa,..Kuna watu akianza kunywa pombe yaani hashauriki yaan anakunywa mpaka anapoteza network mtu mpaka ana sahau mlango anataka kupitia kwenye ukuta.
Hongera Mkuu! Ila Mpaka Sasa Hivi Umetembea/Unatembea/na Unatamani kuendelea kutembea na Wanawake Wangapi?Congratulations hommie,
Mimi toka nizaliwe sija wahi kutumia pombe, sigara, au bangi aisee.
Jambo la muda tu ndugu yangu Mimi mpaka namaliza chuo kikuu sikuwai kunywa na nilikuaga na nadhiri ya kuto kuja kunywa in my lifetime.Congratulations hommie,
Mimi toka nizaliwe sija wahi kutumia pombe, sigara, au bangi aisee.
Hatareee sanaa mkuu KIKUBWA ni kuwa na uwezo wa kuji control kwa kunywa kiasi na kula kiasi sio unakunywa na unageuka kituko na kichekesho na mpaka kuharibu kazi na Maisha kwa ujumlahawa ndo ninaosema wanajiendekeza,..na ni WAPUMBAVU hakika,.....ukiwa TIMAMU na mwenye kujua madhara ya ulaji na unywaji mbaya, ni lazima uwe na uwezo wa ku-control ulaji wako na unywaji pia,......unakuta mtu amenenepeana kwa kula hovyo kama nguruwe, kutembea kidogo tu anahema utadhani ananyongwa,..
mtu analewa mpaka anajinyea, anapoteza mali, analawitiwa kisa pombe kiasi haimtoshi na kuacha hawezi,... seriously? 😳🤔
mtu yuko tayari aue figo zake makusudi kwa maenergy drinks na masoda matatu matatu kwa siku,....
Mkuu mpaka Sasa serious relationship hawaja zidi 2,Hongera Mkuu! Ila Mpaka Sasa Hivi Umetembea/Unatembea/na Unatamani kuendelea kutembea na Wanawake Wangapi?
Wimbo una imbwa mbona silali, kisa mawazo mwenzako sili😆😂.Jambo la muda tu ndugu yangu Mimi mpaka namaliza chuo kikuu sikuwai kunywa na nilikuaga na nadhiri ya kuto kuja kunywa in my lifetime.
Nini kilitokea Kuna dhuluba za Maisha zilinikumba nikawaga kama RICH MAVOKO_SILALI 🥺 Kuna wimbo wake unaweza kupata muda ukausikiliza MBONA SILALI🤓
Nikanunuaga konyagi kubwa fungia ndani CHUMBANI kabatini nikawa napiga vizibo viwili napata USINGIZI ndipo nikaanza kunywa kiasi.
Mimi watu wote hawajuagi kua sometimes huwa nafanya recreational ya kunywa kinywaji changamshi
Siungi mkono ulevi na walevi na alcohol abused siku zoteee Ila sisi tuna kunywa responsible
Hahaha 🤣 😂Wimbo una imbwa mbona silali, kisa mawazo mwenzako sili😆😂.
Mimi pombe siifagilii, hata uzinzi hapana aisee.
Hivi ni kweli prof j tatizo lilikuwa ni pombe?Gardner G. Habash yuko futi 6 chini kwa sababu ya uraibu wa alcohol. Prof Jay kaponea chupu chupu
Mtu sadistic anaweza kuona watu wanakufa akaona kichekesho.NI kichekesho.