Mimi nina kiburi cha kusema naweza kuishinda pombe, pombe haiwezi kunishinda mimi.Ngumu kuona kwenye fridge una wine na beer na other spirit alafu still unaweza kuendelea na mfungo wa kuto kunywa eg. Una alikwa kwa mtu/ ama tafrija na watu/wadau wanywaji alafu wewe unakunywa maji,juice ama soda ni ujasiri sanaa.
Kaa hivyo hivyo.Congratulations hommie,
Mimi toka nizaliwe sija wahi kutumia pombe, sigara, au bangi aisee.
Watu wengi hawana hicho kiburi hongera sanaa kwa hilo.Mimi nina kiburi cha kusema naweza kuishinda pombe, pombe haiwezi kunishinda mimi.
Sio nyumbani tu, kwenye parties, restaurants etc.
😁 Atakua hajawai KUISHI anywe anywe kidogo then later ndio aje kuacha.Kaa hivyo hivyo.
The best way to quit is to never start.
Yeah. Still ni kichekeshoMtu sadistic anaweza kuona watu wanakufa akaona kichekesho.
Stress dawa yake hela na mental resiliency. Ukiwa na viwili hivi stress ikikusumbua mwisho ni kwa muda nfupi tu.Watu wengi hawana hicho kiburi hongera sanaa kwa hilo.
Unajua kwenye Maisha sometimes huwa Kuna ups and downs wakati mwingine stress na mambo yakikuzonga una tumia njia gani kukabili hayo mambo.
Watu wako tofauti. Muache aishi anavyotaka. Unaweza kumlazimisha anywe kumbe ananallwrgy na pombe.😁 Atakua hajawai KUISHI anywe anywe kidogo then later ndio aje kuacha.
Mimi nawa ambiaga watu ""KAMA HUJAWAI KUTUMIA KILEVI CHOCHOTE BASI HAJAWAI KUISHI"" so huyu ndugu yetu namshaur ahakikishe amekunywa japo kidogo.
Intelligent businessman
Mkuu siku ukiacha tena pombe utakuwa fala sana.....jitahidi ujicontrol kuwa na kiasi na vipaumbele vyako vianze kwanza kisha pombe ndio ufuate.Wakuu habari za mda huu
Natumaini mpo wazima niliacha pombe mwaka Jana mwezi wa 7 Hadi mwaka huu mwezi wa 4 nimejikuta narudia Tena ulevi nalewa Hadi napoteza simu hii Hali siipendi kabisa niliwahi kuambiwa ni kurogwa ila kwakweli nahitaji mtu ata wa kunifanyia therapy niachane na hili tatizo
Najichukia nilivyo
hawaijui nguvu ya kvant au konyagi kwenye tendo haoHivi hizi story za kuwa walevi hawamudu tendo la ndoa mnazitoa wapii? Sijawahi amini hiki ktu kabisa.
Madini Sana itasaidia Sana Sana watu wengi hapa jukwaaniStress dawa yake hela na mental resiliency. Ukiwa na viwili hivi stress ikikusumbua mwisho ni kwa muda nfupi tu.
Kujua ku compartmentalize mambo. Kujua kujali bila ya kuwa obsessed.
Mimi nishafanya mpaka mindfulness meditation wakati najiandaa kuwa Buddhist Monk (nilighairi).
Ukipata stress unaji spoil tu.
Halafu mimi nina projects nyingi sana interesting za kuni distract.
Yani ni dakika sifuri tu kuanza ku switch ma switch ya 10G na kuanza ku install Docker containers za applicatiins kwenye Network Attached Storage, nikaweka ma movies, mavitabu, ma audiobooks, ma podcasts. The satisfaction of building things takes the stress away.
Pia, mazoezi ya mwili yanasaidia sana kuondoa stress na anxiety.
Zaidi, binti mrembo mwenye sauti nyororo na uelewa wa hadithini anani calm down hata kabla stress haijaanza inayeyuka yenyewe.
Nani ana weza ku brag hii design, bila ku exaggerate😂😂🔥.Stress dawa yake hela na mental resiliency. Ukiwa na viwili hivi stress ikikusumbua mwisho ni kwa muda nfupi tu.
Kujua ku compartmentalize mambo. Kujua kujali bila ya kuwa obsessed.
Mimi nishafanya mpaka mindfulness meditation wakati najiandaa kuwa Buddhist Monk (nilighairi).
Ukipata stress unaji spoil tu.
Halafu mimi nina projects nyingi sana interesting za kuni distract.
Yani ni dakika sifuri tu kuanza ku switch ma switch ya 10G na kuanza ku install Docker containers za applicatiins kwenye Network Attached Storage, nikaweka ma movies, mavitabu, ma audiobooks, ma podcasts. The satisfaction of building things takes the stress away.
Pia, mazoezi ya mwili yanasaidia sana kuondoa stress na anxiety.
Zaidi, binti mrembo mwenye sauti nyororo na uelewa wa hadithini anani calm down hata kabla stress haijaanza inayeyuka yenyewe.
NdiyoHivi ni kweli prof j tatizo lilikuwa ni pombe?
hapa kweli uli jishitukia mapema, maana u monk na popping up in violence ni mbali mbali.Mimi nishafanya mpaka mindfulness meditation wakati najiandaa kuwa Buddhist Monk (nilighairi).
Mkuu nina hobby na starehe zangu ambazo huwa zina nifanya nifurahie kuwa mimi.😁 Atakua hajawai KUISHI anywe anywe kidogo then later ndio aje kuacha.
Mimi nawa ambiaga watu ""KAMA HUJAWAI KUTUMIA KILEVI CHOCHOTE BASI HAJAWAI KUISHI"" so huyu ndugu yetu namshaur ahakikishe amekunywa japo kidogo.
Intelligent businessman
Point nono hiiStress dawa yake hela na mental resiliency. Ukiwa na viwili hivi stress ikikusumbua mwisho ni kwa muda nfupi tu.
Kujua ku compartmentalize mambo. Kujua kujali bila ya kuwa obsessed.
.
Kuna siku tuli kuwa sehemu kwenye tafrija, nilipo onekana sinywi Kuna mtu ali weka 1m ili nipige funda 1 tu.Kaa hivyo hivyo.
The best way to quit is to never start.