Niliacha Ualimu Serikalini, Nifanyeje ili nirudi?

Niliacha Ualimu Serikalini, Nifanyeje ili nirudi?

kagaruki2

Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
7
Reaction score
0
Mwaka 2012 nilipata post ya ualimu mkoani kagera. Lakini sikwenda kuripoti kutokana na mkataba niliokuwa nao kwenye kampuni nyingine binafsi. Nimemaliza mkataba na nahitaji kurudi tena kwa serikali. Hivi huwa ni njia gani zinafuatagwa??????
 
peleka maombi pale tamisemi /utumishi kama upo Dar au nenda Tamisemi Dodoma.... Haijalishi ulienda au hukwenda watakupangia.
 
Nilikuwa sina. Yaani sikufanya lolote kuhusu hiyo post kwani nilikuwa nimebanwa sana na mkataba. Vyeti na nyaraka nyingine zilikuwa kwa shirika.
 
Nilikuwa sina. Yaani sikufanya lolote kuhusu hiyo post kwani nilikuwa nimebanwa sana na mkataba. Vyeti na nyaraka nyingine zilikuwa kwa shirika.

Afadhali kama hukuwa na cheki namba. Maana ungeishia kuwa kibarua tu. Nenda tamisemi utapata fasta ila usilalamike ukifika huko watakapokupangia.
 
Back
Top Bottom