Niliagiza mzigo Aliexpress lakini nilikuwa sijafungua sanduku la posta. Je, naweza kuupata?

Niliagiza mzigo Aliexpress lakini nilikuwa sijafungua sanduku la posta. Je, naweza kuupata?

Joined
May 9, 2014
Posts
57
Reaction score
46
Habari zenu wakuu niliagiza parcel kupitia aliexpress na mzigo unaonesha umesha wasili kwenye destination country

shida inakuja nilikurupuka kuagiza mzigo kabla ya kuwa na sanduku la posta je naweza kuupata kweli mzigo au ndo imesha kula kwangu?

Naomba msaada wa ufafanuzi juu ya hili wajuzi
 
Hbari zenu wakuu niliagiza parcel kupitia aliexpress na mzigo unaonesha umesha wasili kwenye destination country

shida inakuja nilikurupuka kuagiza mzigo kabla ya kuwa na sanduku la posta je naweza kuupata kweli mzigo au ndo imesha kula kwangu?

Naomba msaada wa ufafanuzi juu ya hili wajuzi
Utaupata kupitia posta iloyo karibu nawe na hao ndio watakupigia simu..
 
Back
Top Bottom