geofrey senyagwa
Member
- May 9, 2014
- 57
- 46
Utaupata kupitia posta iloyo karibu nawe na hao ndio watakupigia simu..Hbari zenu wakuu niliagiza parcel kupitia aliexpress na mzigo unaonesha umesha wasili kwenye destination country
shida inakuja nilikurupuka kuagiza mzigo kabla ya kuwa na sanduku la posta je naweza kuupata kweli mzigo au ndo imesha kula kwangu?
Naomba msaada wa ufafanuzi juu ya hili wajuzi
Ulikumbuka kuweka namba ya simu kama la fika posta kuu na kitambulisho chako na namba ya mzigodestnation united republic of tanzania dar es salaam
Dah...[emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji848][emoji2827]Destination address?
wakala
Yaani uliagizaje?
Vua hiyo miheadphone mikuubwa upate akili utaacha kukurupuka.
Mamba ya simu niliweka pamoja email yanguUlikumbuka kuweka namba ya simu kama la fika posta kuu na kitambulisho chako na namba ya mzigo
Utaupata bila shaka ondoa hofu, una siku 60 zinazokulindaMamba ya simu niliweka pamoja email yangu