Niliagiza mzigo Kikuu, wanasema umefika Dar muda mrefu. Lakini bado hawajanitumia kuja mkoani, nifanyeje?

Erick msigwa1234

New Member
Joined
Apr 12, 2022
Posts
4
Reaction score
1
Jamani mimi niliagiza mzigo kikuu nawanasema upo tayari Dar muda wowote utatumwa mkoani niliko. Ila naona kimya hadi saizi. Anaejua anielekeze nifafanyaje
 
Shida ya kikuu ndo hiyo na kuwasiliana nao ni ngumu. Japo mizigo uwa inafika lakini kuna muda inachelewa sana.
 
Ko naweza kupata mkuu maan nipo mkoani na sijuh aan coz ni mara ya kwnz kuagiza aan
 
Screenshot_20220415-183114.jpg
 
Umeagiza tangu lini? na tangu wakwambie Mzigo upo Dar umesubiri kwa muda gani?.
 
Jamani mimi niliagiza mzigo kikuu nawanasema upo tayari Dar muda wowote utatumwa mkoani niliko. Ila naona kimya hadi saizi. Anaejua anielekeze nifafanyaje
Umejaribu kwenda ofisi zao hapo mkoani ulipo ukauliza ?
 
Makao makuu yao ni mikocheni,ila kila mkoa Wana tawi .
 
Utapata mkuu.mm niliahiza tablet imefika mkoan tayari.kuwa tu online
 
Back
Top Bottom