Niliambiwa wanaume hawapo JF

Jf ina raha yake bhana.
Tangu nipo humu sijawahi kutana na mtu hata mmoja wa humu.
Ukija mbio utarudishwa mbio
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hii ni dalili ya genye baridi..

Au pengine unatangaza biashara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Biashara ipi mmejichokea hamna dili lolote mpompo tu
 
Tena nyie wa sasa hivi raha sana.
Kipindi kile ulikuwa hujui yupi mwanaume yupi mwanamke.
Kulikuwa na watu Leo atacomment kiuanaume siku nyingi kiuanamke.
Yaani unachanganyikiwa.
Cc Kongosho
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pambana na hali yako asee

Ukileta twala[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hizo nguvu hamna hata zakulia daga viuno havipo ndio mtakula papa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…