Niliamini ananipenda kumbe alinifanya kichekesho

Mkuu nimeiona, tajira huna bayaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚huyu laima aliyefanya had ushindwe kuhifadhi namba za simu kiboko kwa kweli.
Hahahaaa, hongera mkuu, u mwandishi mzuri, unapangilia vizuri story, ikiisha ya laima tupia nyingine.
Pamoja mkuu nitafikiria kisa kingine cha kukiandika, ili tupate kuburudika na kujifunza pia.

Halafu kuna hiiπŸ‘‡ ulishaisoma?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…