Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
-
- #441
Kwahiyo ndiyo ulitaka kusemaje mkuu?Bara la giza ndio maana ni shida tupu. Yaani mtu kula taabu ana tafuta mwanamke mbali na hata hajamuona na kupotezana muda na tamthilia za kitoto.
Grow up
Asante pia kwa kunitia nguvu, kama ningekuwa naandika mwenyewe tu bila watu wa kunitia hamasa nisingemaliza.Haya mkuu Asante kwa burudani
Kwenye uandishi upo vizuri tajiri, endelea kutupa burudani na mafunzoAsante pia kwa kunitia nguvu, kama ningekuwa naandika mwenyewe tu bila watu wa kunitia hamasa nisingemaliza.
Pamoja mkuuKwenye uandishi upo vizuri tajiri, endelea kutupa burudani na mafunzo
Ue zimeisha huko UDOM?Uko chapu mkuu ushasoma tayari!
Duh!Upo vizuri mkuu, ndio maana tunaambiwa hivi viumbe sio vya kuonea huruma ***** bora hata siku Ile ungemkaza tuu hivyo hivyo na period yake fala huyhuyo
Pamoja mkuuHauna baya Tajiri Sina BAYA ๐๐๐๐๐
Km huyo demu hujamla usinisumbueโฆ tunataka scene za kupigia nyeto sie ๐น๐น๐น
Huna bayaa.Mwamba Edo sina deni huku.
UmetishaTayari mkuu
๐๐๐ pamoja mkuu.Mkuu kipande Cha mwisho ni elimu tosha umeitoa na pole kwa uliyoyapitia
Kwangu nimepata somo na Asante sana Tajiri Sina BAYA
Ukishusha visa vyengine msomaji nipo japo nitachelewa ila nitahudhuria kipindi
๐
๐ฎ kumbe hadi nyie huwa mnapiga nyeto๐ค๐คKm huyo demu hujamla usinisumbueโฆ tunataka scene za kupigia nyeto sie ๐น๐น๐น
๐๐๐๐Huna bayaa.
Asante kiongozi.Umetisha
๐น๐น Kwani huyo Laima hajakwambia?๐ฎ kumbe hadi nyie huwa mnapiga nyeto๐ค๐ค