Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Nimeamini mapenzi yanayoanzia kwenye muziki yananoga Sana na hasa ukiukumbuka wimbo maalumu wa enzi ya mapenzi yenu.
Mimi mapenzi na mke wangu yalianzia kwenye wimbo wa ASHAWO CONSERT Abuja Nigeria Mr flavor.
Sawasawa sawaleeee x 2
Ausha x 4 popopoooo
Acha kabisaaaaa hapo nikiwa boya tu huko maeneo ya (polisario)
Maisha na muziki