Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
buji hebu nenda kawaombe wazee wa watu msamaha.
unaweza ukashangaa mambo yako hayanyoki kwa mwaka mzima kwa sababu za kipuuzi tu kama uzinzi wako
Kwani kufumaniwa ni kupi? Nilikutwa red handed kiunoni kwa binti bado sio fumanizi?
hebu nipatie jina la kitaalam la tukio langu ili niedit heading ya habari
Sasa ulikimbia nini? labda baba yake, kuna baba hataki mkwe jamani, wewe ungekaa uone mwisho wake..sana sana ungeomba radhi kwa kujisevia hadharani
Nasikia siku ya mwisho kutakuwa na sinema, kila mtu ataona yale mambo yote aliyoyatenda.
Mimi kwa kweli hiyo siku napenda nikaone sinema ya BUJIBUJI na vituko vyake.
hakika nitacheka sana hata maumivu ya moto wa jehanamu hayatakuwa makali, maana kila nikikumbuka tu ile sinema ntakuwa narudia kucheka
Me tooCan't wait for that day either!
ah ah ah uncle chelulute ukome!Tena ntakata na hiyo dudu kabisa maana unaichezea ovyo.
nahisi mrembo alikuwa napiga mayowe, vifijo na vigelegele kama king'ora cha fire... hadi mkwe karudi na kufumania... hongera beberu la Kamsamba!!Sasa ulikimbia nini? labda baba yake, kuna baba hataki mkwe jamani, wewe ungekaa uone mwisho wake..sana sana ungeomba radhi kwa kujisevia hadharani
natangaza rasmi....NAHOJI KIWANGO YAKO KATIKA ANGA ZA 'ZE NIDFUL'...:ban:mwenzako alijua yuko ugenini na alitumia nafasi hiyohyo...kikuku kuku vile!!huyu dada nae hana adabu,utakubali vipi huo mchezo uufanyie kwenu?kwani gest hakuna?atamuangalia vipi baba ake usoni?au ndio mambo ya kizungu?
Ooopppss my bad!!!!
Ni tarehe ishirini na sita mwezi wa kumi na mbili mwaka jana, kwa kizungu boksing dei, anaingia msichana mrembo kutoka Sydney Australia. Alikuwa huko kwa ajili ya masomo, ni mwanasheria na amehitimu shahada yake ya pili na sasa amerejea nyumbani.
Siku hiyo mi nlikuwa kijijini kwetu Kamsamba wilayani Mbozi mkoani Mbeya, hivyo basi sikuweza kwenda kumpokea.
Tarehe 31 jioni na mimi nikawa naingia dar es salaam kwa basi la Okoa linalofanya safari zake kati ya Tunduma na Dar. Kituoni Ubungo nilimkuta mrembo wangu aliyekuwa Sydney amekuja kunipoa.
Ilikuwa ni siku ya furaha kubwa sana kwangu. tukaenda nyumbani kwangu mitaa ya Mwananyamala kwa Manjunju, tukakaa huko hadi saa nne usiku ambapo nikamrudisha kwao Mbezi Beach. huku tukipeana ahadi za mimi kwenda kumchukua kwao kesho yake saa nne asubuhi.
kesho yake mzee nikatimba hadi kwao, nikapaki kimkweche changu nje ya geti lao nami nikazama ndani.
Tukawa tumejinafasi tukifurahia mahaba yaliyojaa umaridadi na ujuzi wa kamsamba na ule wa sydney. Riha zikatuzidia, sikumbuki hata ni muda gani vivazi vikawa vimetuponyoka.
katikati ya mchezo, tukiwa hapo sebuleni, mara tukaona mlango umefunguliwa, huku mzee mrefu mwenye misuli mikubwa ya kimazoezi akiwa amesimama mbele yangu.
Niliinuka, nikatoka nduki sijui nilifikaje kwetu Mwananyamala.
Usiku ndipo nikakumbuka kuwa nimeacha gari langu Mbezi Beach.
kweli huu mwaka niliuanza kwa staili ya tofauti sana.