Mh. amesema kuna mambo yaliyo mahakamani ya TRA na capital gain tax, kusamehe kodi kwa Kilimanjarom cement, hatayaingilia maana ALIAPA KULINDA SHERIA NA KATIBA, hawezi kuvunja katiba na sheria.
Naomba mnaokumbuka mkumbusheni vifungu vya katiba na sheria alizovunja mpaka sasa! Mimi nimesahau.
Naomba mnaokumbuka mkumbusheni vifungu vya katiba na sheria alizovunja mpaka sasa! Mimi nimesahau.