Mh. amesema kuna mambo yaliyo mahakamani ya TRA na capital gain tax, kusamehe kodi kwa Kilimanjarom cement, hatayaingilia maana ALIAPA KULINDA SHERIA NA KATIBA, hawezi kuvunja katiba na sheria.
Naomba mnaokumbuka mkumbusheni vifungu vya katina na sheria alizovunja mpaka sasa! Mimi nimesahau.