Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Haha umeishia tu kunisifia nnavyoitika hujaniambia ulichoniitiaKumbe unaitika vizuri vizuri sana....safi sana...
utakuta mwingine anaitaka nanasema...nini hukoo,semaa,
it seems ur so so sweety girl...hahahaa
ikigijo...
mengine huwa nasoma kimya kimya....Kumbe unapendaga mastori eeh?
Niko poa sijui wewemengine huwa nasoma kimya kimya....
mambo yako niaje?
Shemeji uendelee
Nimesoma mama, hivi imeendelea au anatufanyia yale ya KLM!!!
Nlikuwa sijisikii vizuri kuna Mtu alinikwaza na kuharibu siku yangu so nikaona ngoja nimuiteHaha umeishia tu kunisifia nnavyoitika hujaniambia ulichoniitia
Haha na hivi leo weekend inaanza, tuwe tu na mioyo ya kupondeka, ataimalizia hopefullyNimeoma mama, hivi imeendelea au antufanyia yale ya KLM!!!
doing pretty good...miss ya though "jina lako halisi"...Niko poa sijui wewe