Nilichijifunza royal engagement party

Nilichijifunza royal engagement party

mabutu1835

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2018
Posts
909
Reaction score
1,425
Nilichojifunza tukio la royal engagement party
1: Mwanzo mwisho sauti na vinasa sauti vilikuwa na changamoto.
2: Pamoja na mapambo mazuri ya ukumbini, waalikwa walikuwa wamepoa sana kama walikuwa wamemwagiwa maji.
3: Bw. Haji kama vile alikuwa amelenga maokoto zaidi kutoka kwa waalikwa.
4: Bw. Haji anaonekana kutumia nguvu kubwa ya fedha kumshawishi Bi. mtarajiwa.
5: Misosi ilikuwa ya kubania sana, kuna meza walikuwa wanajifariji na selfie.
Nasikia bi. mtarajiwa alishawahi kuolewa na talaka yake ina utata.
Kila la heri Bw. Haji Manara, pambana furaha yako itimie usisahau kuchukua tahadhari.
 

Attachments

  • Screenshot_20240119-192626_1.jpg
    Screenshot_20240119-192626_1.jpg
    32.1 KB · Views: 2
Mimi nikajua kuna Prince au Princess amefanya engagement party huko. Kuna mtu kapenya kwenye ma kasri ya kifalme.

Kumbe tunabweda na kujimwambafy bado?
 
Mtarajiwa alikuwa na haki zote za kumkataa, ila mpk anakubali kuvishwa pete we mtoa mada unasemaje ameshawishiwa??
Kuna WanawaKE wako ndoani na wana watoto mpaka watatu lakini kila leo wanasema hawajui ikawaje wameolewa na hao bwana zao
 
Mimi nikajua kuna Prince au Princess amefanya engagement party huko. Kuna mtu kapenya kwenye ma kasri ya kifalme.

Kumbe tunabweda na kujimwambafy bado?
Prince Manara, Prince of Mchikichini
 
Back
Top Bottom