Nilicho kiona Leo Church

Nilicho kiona Leo Church

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
4a2b586741b164e52ce51566464147ee.jpg
 
Ambiele Mungu anakuona....Yeye amevaa nguo wewe umeona maneno.Hiyo ni nguo kama nyinginezo ....mkuu tunatofautiana sana
 
Mungu wa Israel anaangalia moyo .
Huyo nanii ndo anataka kutawadha na kuwa msafi mwili badala ya roho.

Bwana Yesu asifiwe sana
 
Sasa wewe na yeye wakumshangaa ni nani !??mzee kakonsentrate anamuomba mungu wake wewe uko bussy na ki simu chako...!?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] vijana hizi nguo mnazowapelekea wazee wenu muwape na maelezo.
Mzee katinga T Shirt yenye maandishi ya night club kanisani hana habari.
Sio kosa lake lakini.
Hafu Watu wanasema ilo swala La kawaida
 
Mbona iko poa tu.

Nini tatizo la hayo maandishi?

Ni matusi?
 
TRIPLE 'A' night club ...ipo chuga hiyo .

Jamani ni kawaida tu ndo maisha yalivyo. huwezi jua labda ndo mtoko wa sikukuu kwa mwenzako...kumbuka hata vidole vyako vya mkono havilingani....

"Ganda la muwa la jana - Chungu kaona..."

Imefadhiliwa na kijukuu cha hitler Adolph hitler jr
 
Back
Top Bottom