Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hajui alitendalo[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hafu Watu wanasema ilo swala La kawaida[emoji23] [emoji23] [emoji23] vijana hizi nguo mnazowapelekea wazee wenu muwape na maelezo.
Mzee katinga T Shirt yenye maandishi ya night club kanisani hana habari.
Sio kosa lake lakini.
Hii huwenda ni photoshop, wanatangaza club yao.
Nifah nilete Wapi posa? Avatar yangu imetokea kuipenda avatar yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] vijana hizi nguo mnazowapelekea wazee wenu muwape na maelezo.
Mzee katinga T Shirt yenye maandishi ya night club kanisani hana habari.
Sio kosa lake lakini.