Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Huyu jamaa nimekuja kugundua ni mtu flani wa husda sana,ana chuki na wivu flan hiv wa chini chini anao uficha kwa mgongo wa utani wa utani wa jasi but kiuhalisia hamaanishi hivyo...kwa mfano katika post zake tano kwa siku basi 2 zitaihusu Yanga halafu watu wa Yanga hawanaga time naye wanamkaushia tu.
Angalia hii post halaf chukua muda wako kutafakari alichokiandika then unaweza kukubaliana nami pasi na shaka...
Angalia hii post halaf chukua muda wako kutafakari alichokiandika then unaweza kukubaliana nami pasi na shaka...