Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Duh, ana kinini vile...... angalia usiitwe mbaguzi lakini.Anakisokolokwinyo ama kwa kizungu tunaita vidabilamweni
daah vidabwilamweni ndo nini hiyoAnakisokolokwinyo ama kwa kizungu tunaita vidabilamweni
ha haaaaa............uchizi wa kiwango cha lami.Ipo hivi
Young Africans Wakienda makundi wanavuta pesa kama ifuatavyo
CAF mil 850
Sport pesa mil 400
Macron mil 53
Jumla Bil 1.3
Usajili wa yanga ni mil 250
Simba wakichukua Ubingwa wanachukua mil 80
Usajili wa Simba bil 1.3
Kupitia Takwimu hizo unajua Chizi ni nani hapo
daah vidabwilamweni ndo nini hiyo