Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Mambo? Unachelewa kuoa au kuolewa ndivyo utavyopata matokeo hasi ukishapata ndoa.
1. Utaanza kuhisi kilakitu afanyacho mkeo/mmeo anakosea sababu ulishazoea tuvisheria twako.
2. Kubughuziwa(to feel uncomfortable)....kuanzia kulala wawili kitandani na kushea anything(uchoyo unaanza hapa)
3. Kutamani kuishi pekeyako Tena,kutaman mwenzio asafiri,akienda kazini achelewe kurudi au alale hukohuko🤣,akirudi apitilize kulala ataoga asubuhi😆.
4. Ongezeeni nilivyosahau(kuweni wakweli)
NB: Oaneni mapema kabla akili na mwili havijajizoea kuishi vyenyewe ili msipigane risasi(ndoa ni urafiki)