Nilichogundua mwenzenu

Beesmom

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
17,202
Reaction score
28,732
Mambo? Unachelewa kuoa au kuolewa ndivyo utavyopata matokeo hasi ukishapata ndoa.

1. Utaanza kuhisi kilakitu afanyacho mkeo/mmeo anakosea sababu ulishazoea tuvisheria twako.

2. Kubughuziwa(to feel uncomfortable)....kuanzia kulala wawili kitandani na kushea anything(uchoyo unaanza hapa)

3. Kutamani kuishi pekeyako Tena,kutaman mwenzio asafiri,akienda kazini achelewe kurudi au alale hukohuko🤣,akirudi apitilize kulala ataoga asubuhi😆.

4. Ongezeeni nilivyosahau(kuweni wakweli)

NB: Oaneni mapema kabla akili na mwili havijajizoea kuishi vyenyewe ili msipigane risasi(ndoa ni urafiki)
 
Umeongea ukweli...ukishaziea maisha ya usingle bwana kukaa na mtuu unaona kero tuu.

Ila pia kadri unavyochelewa koa/kuolewa ndivyo unavyo onja asali tofauti so unajikuta huwezi tulia na asali moja unataka kubadilisha ladha tuu.
 
Always upo muwazi.Na ndiyo ukweli
 
Always upo muwazi.Na ndiyo ukweli
Ndio ukweli wenyewe tutaruka wee lakini ukwei ni kwamba ndoa haziwezi kudumu maana tunao oana ni used goods. Huyu anamkumbuka john mwengine anamkumbuka latifa
 
Mtoa mada huu ni ukweli kabisaaaa, ukishazoea kujisimamia mambo ya kupangiwa pangiwa yanakera. Ndio yale ya bibie anataka akaangalie mpira mwenzie anataka abaki nyumbani apike. Mgongano unaanzia hapo.
Ndoa ni kujikana haswa.
 
Sema mso na akili ndio mlikubaliana hivyo ambapo ni boonge la uamuzi japo pia kuna wenzenu wanawasaliti. Ila wanaume wenye akili wanaoa vizuri tu.
Kwa hiyo tukubaliane kuwa wanaume wasiooa hawana akili na wanawake wasiolewa nao hawana akili
 
Mtoa mada huu ni ukweli kabisaaaa, ukishazoea kujisimamia mambo ya kupangiwa pangiwa yanakera. Ndio yale ya bibie anataka akaangalie mpira mwenzie anataka abaki nyumbani apike. Mgongano unaanzia hapo.
Ndoa ni kujikana haswa.
Yaan ukishakubali kuolewa au kuoa ujana weka pembeni Kaa kifamilia na kimajukumu.Alichemka...ndoa na misele wapi na wapi
 
Kwa hiyo tukubaliane kuwa wanaume wasiooa hawana akili na wanawake wasiolewa nao hawana akili
Duniani wawili wawili mkishindwana bas
Kweli kabisa tamaaa ya ngono tumeiendekeza mno. Yaani sasa kila sehemu ni kulana mbususu mara kulana tigo. Basi ni shida tupu. Ukigeuka huku huyu ana tako yule ana tako basi balaaaa
🤣🤣🤣🤣Uko very addicted na tako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…