Nilichojifunza: Kama kwenye tasnia yenu mpo wengi basi maslahi yenu yatakuwa duni

Nilichojifunza: Kama kwenye tasnia yenu mpo wengi basi maslahi yenu yatakuwa duni

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Mnapokuwa wengi kwenye tasnia ndipo hapo maslahi yenu yanazidi kuwa chini.

Let's start.

1. Kuna route za bodaboda zilikuwa 3000 lakini ongezeko la bodaboda likafanya hizo route zishuke mpaka 1000 ukilia mpaka 500 unapelekwa.

2. Waalimu wapo wengi kinachotokea wenyewe mnakiona licha ya hadhi kubwa waliyonayo waalimu still wanachukuliwa poa.

3. Madereva wapo kibao bei unajipangia na mtu hakatai kazi, nilikuta madereva wa IT wakilalamika kuwa kuna baadhi yao wapo tayari kufanya kwa gharama ndogo kulinganisha na bei elekezi.
 
Back
Top Bottom