johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
2015 aligombea mbona hajanyanyaswa!Nyalandu angegombea kupitia ccm angeanza andamwa kama membe..
Siku nyingi bwashee!Hivi kura za maoni kwa mgombea urais ccm tayari?!
Yaani JPM amteue Nyalandu kuwa PM?Bwashee Nyalandu hajafeli kama ww,in short ndiye PM ajaye
Nani na nani walishindanishwa kwenye kura za maoni kumpata mshindi?! Nilikuwa nasubiri kumsikia JPM akitoa takwimu za madaraja, nimepitwa vipi?!Siku nyingi bwashee!
CCM hairembi!
Yaani JPM amteue Nyalandu kuwa PM?
Utasikia madaraja ya, kuhamia dodomn nakujenga ikulu ddm, na kununua ndege, Barbara na uwanja wa taifa kukarabati uwanja wa taifa wa mlm Nyerere, huji kusikia uwanja wa chato na buligi,Nani na nani walishindanishwa kwenye kura za maoni kumpata mshindi?! Nilikuwa nasubiri kumsikia JPM akitoa takwimu za madaraja, nimepitwa vipi?!