Acha kuamini mambo ya Kizamani mkuu,Nikiwa mkulima mchanga wa tikiti nimejifunza vitu vingi ambavyo naona leo si vibaya nikashare kwenu
1.Uchawi
amini usiamini uchawi upo kwenye kilimo nimeamini hivyo baaada ya wakulima wenzangu kama wanne kunihadithia jinsi walivyopata hasara kwa kudharau kulinda shamba au kutumia dawa ya kupandia
sijawahi kuroga lakini kwa sababu nimeinvest hela kubwa nlienda kwa mganga kwa mara ya kwanza ili hela yangu irudi ikibid hata na faida
Shamba
nlilipa hela ya heka nne lakini juzi amekuja bwana shamba kunitembelea akanishauri kabla sijalipia shamba nilipime na kweli tulipopima ikatoka heka 3 na robo
nlijifunza kitu kikubwa sana kuhusu umuhimu wa kupima shamba
Wafanyakazi
Kama utalimia maeneo ya pwani usiajiri wazaramo au watu wa pwani/wenyeji tafuta wasukuma waha wanyalu au watu wa mikoa ya kaskazini nimeajiri wazaramo wawili na wasukuma wawili yaani wazaramo ni wavivu kuliko maelezo kila mara wanaumwa siku ukienda bila kuwataarifu huwakuti
Mbolea ya samadi ni bora lakini ina wadudu wengi wanaoshbulia mazao au mnyauko
upande mmoja ambao nimeweka mbolea nyingi ya samadi mazao yamenyauka sana kuliko nlipo weka mbolea kiasi
kila siku nipo hapo/ni lazma niwapigie cmAcha kuamini mambo ya Kizamani mkuu,
Mimi nililima mwaka Jana, hakuna cha mganga wala nini eka mbili nikajaza Fuso mbili,
Jiandae vizuri kwa changamoto za soko, tumia muda mwingi kufanya utafiti sokoni, unawezapata mazao shambani ila ukija sokoni ukapoteza,
Pia wachana kabisa na hao wazaramo, ikibidi usiweke hata mmoja,
Kaa vizuri na hao wasukuma, wanapiga sana kazi. jitahidi kufika site kila unapopata nafasi.
ulilimia wap? fuso uliuza bei ganiAcha kuamini mambo ya Kizamani mkuu,
Mimi nililima mwaka Jana, hakuna cha mganga wala nini eka mbili nikajaza Fuso mbili,
Jiandae vizuri kwa changamoto za soko, tumia muda mwingi kufanya utafiti sokoni, unawezapata mazao shambani ila ukija sokoni ukapoteza,
Pia wachana kabisa na hao wazaramo, ikibidi usiweke hata mmoja,
Kaa vizuri na hao wasukuma, wanapiga sana kazi. jitahidi kufika site kila unapopata nafasi.
Kuanza kutegemea kinga ya mganga badala ya Yule Aliyeviumba vyote ndio kuiuza roho yako kwenye ushirikina...roho? hebu nieleweshe tena kaka ila kama unaenda kqa mganga anakusaidia kulikinga shamba lako na wachawi unapotezaje roho
Majibu ya maswali haya ndiyo mganga wako anayatumia kukuweka sawa halafu ukifanikiwa unaona dawa inafanya kazi - UWONGO WA MGANGA, NAFUU YA MGONJWA!!..ulilimia wap? fuso uliuza bei gani
Aisee ndio nimeiona hii ya shambani kwa mara ya kwanza.shambani ndumba
sokoni ndumba
kwa street vendor ndumba
bado mkeo hapo hajakufanyia kitu
wakulima haoAisee ndio nimeiona hii ya shambani kwa mara ya kwanza.
ndo hivyo bro kama ww sio mchawi basi kila siku uwepo shambani na wana maombi maaana unweza kutumiwa panya ucku mmoja tu likaisha loooteMtoa mada uko sahihi, kuna kipindi nililima vitunguu, heka 2, kabla sijaanza wazee waliniambia niweke tambiko, "mimi msomi bwana hayo mambo ya mizimu sifuati,"
Kitunguu ilimea vizuri kila mtu alinisifia, wakisema nimeshauaga umaskini, haloo kilichotokea wakati wa mavuno, Mungu ndo anajua na mimi,msimu uliofuata ilibidi nisikilize maneno ya wazee, na kweli nilitusua vyema sana although nililima heka moja baada ya mtaji kukata.
Haya mambo yapo aiseee, kama huamini sawa sawa.
[emoji1787]Wacha kabisa, watu hawana experience hapa, wanaongea tuu.ndo hivyo bro kama ww sio mchawi basi kila siku uwepo shambani na wana maombi maaana unweza kutumiwa panya ucku mmoja tu likaisha looote
Nenda kanisaniNa wish nije nifanye kilimo hko ilo hapo kwa kwenda kwa witchdoctor pagumu siwez.
Ndo naelekea sasa hivi.Nenda kanisani
Nasikia eti shamba la matikiti haruhusiwi kutembelea mwanamke alokua kwenye siku zake? Hebu niweke sawa na hili.
Na huku kwetu tunao wagogo aaaaarrrrrrgghhh[emoji121]
MKUU,
NINA OMBI,
HAPO KWENYE KUTOAJIRI WAZARAMO UKIWA KWENYE ARDHI YAO HAPO NAOMBA UBOLD KABISA HAPO MKUU,
NAKUOMBA SANA MKUU!!!
[emoji124] [emoji469] [emoji469] [emoji469] [emoji469] [emoji469] [emoji469] [emoji469] [emoji469]