chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Watu wanasema usipende kusema jambo usilolijua.
Kuna sehemu huwa ni wakali ukifika kwenye imani zao kupitia dini tulizo nazo kila mmoja.
Watu wengi kupitia imani wanapenda kusabisha wenzao kuwa mifano na mapito kupitia imani. !!
Siku moja kupitia kipindi cha redio fulani hivi Mzee Yusuf kutaka kurudi kwenye gemu baada kuona kinachoelekea hapa mwenyewe ndio hana siri tena kwa yale aliyosema kutoa moyoni kumbe kuna watu kiufupi wanatumia kama njia mfano tu.
• Mfano mtu kakushauri: (wazo lako katika imani) "yule dini yangu na mcha mungu"
note: changanya nazako [emoji849].
• Umedhulumika: (imani kupitia wenzako) "yule dini yako kwa mungu hata jibu nini"
• Mtu hana kufanyia ubaya:
(imani kupitia wenzako wanasema mungu kakuandikia majaribu)
kuna mengi hata yeye kinyongo kinamtoka ila dunia ndio duara kwa wanzungu wapo mwezini na kwenda sayari ya mbali.
Wadau hili nalo neno