Nilichojifunza kutoka kwa Mzee Yusuf

Inashangaza,mwandishi ni Genius umetufanya waswahili wenzako tusielewe ulicho andika
 
Wakuu huyu jamaa anantesa, narudia kusoma mara ya 1000 hii.
 
Huyu Jamaa ilikuwa ni lazima arudi kwenye music, kama nakumbuka ni kwamba huyu Mwamba(Mzee Yusuf) ana kesi ya madai mahakama ya wilaya ilala na mpaka sasa kesi inaendelea na anadaiwa pesa alizokopo kwa watu.
 
Kwa ulimwengu wa leo..pana taka moyo sana na kujipanga... ..bila hivyo ndio hayo... ... kuna mwengine znz aliacha akiwa anaadhini kabisa msikitini..lakini ndio hivyo..hakuwa na sapoter wala kipato..nje ya kuimba..mwisho akarejea tena ...jukwaani!
 
Uropokaji wa mzee yusuf dhid ya mashekh na uislam angeufanya mtu wa dini nyingine wangeandamana hadi kwa mkuu wa nchi
Karopoka nini tena..!? Ebu tuelezee maana mtoa mada kakotokochoa mpaka wengi hatujaelewa
 
Jina lako Chizi linasadifu yaliyomo kichwani kwako
 
Kwa ulimwengu wa leo..pana taka moyo sana na kujipanga... ..bila hivyo ndio hayo... ... kuna mwengine znz aliacha akiwa anaadhini kabisa msikitini..lakini ndio hivyo..hakuwa na sapoter wala kipato..nje ya kuimba..mwisho akarejea tena ...jukwaani!
Mzee Yusuph nadhani hakujipanga.
 
Assume mleta uzi ni daktari na hayo aliyoandika yalikuwa ni maelekezo yake kwa mgonjwa juu ya matumizi sahihi ya dawa alizomuandikia, bila shaka nitahamishia karakana yangu ya majeneza nje ya hiyo hospitali anayofanyia kazi
 
Unaweza hisi bandiko linetafsiriwa kutoka lugha nyingine kwa kutumia "Google Translator"!
 
Mkuu unawaza kwa sauti kubwa sana. Ndii maana hatuelewi unamaanisha nini.
Ondoa stress njoo upya hoja iko!
 
Babaaa[emoji847][emoji847][emoji847].
Kiswahili kigumu nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…