Alaf kana GPA ya Upper second[emoji41]Bongo bana....halafu unaweza kuta haka kajamaa eti nako kana "mastaz"!
π π π π πkama mmeshawahi kukutana na wapemba tokea visiwani hamuwezi mshangaa huyu jamaa.
mnaweza piga story ukatoka na kiu.
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
NakaziaHuu no uandishi au UTOPORO
Hii hali mwanzoni ilinipa tabu kweli kuna muda nikawa nawaitikia tu..... Ila baada ya kukaa nao kwa muda taratibu nikaanza kuwaelewa (kufahamu kama wanavyosema wenyewe )kama mmeshawahi kukutana na wapemba tokea visiwani hamuwezi mshangaa huyu jamaa.
mnaweza piga story ukatoka na kiu.
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app