mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,670
Yapo mengi ya kujifunza kutoka na jinsi timu yetu ilivyofanya kwenye mashindano ya AFCON:
1) Mabeki hawakuwa wanajuamini kiasi cha kushidwa kumiliki mpira kiufundi badala yake kubutua (au kuhamisha mbele) kila walipoupata mpira. Hivyo basi viungo wakashindwa kuchezesha washambuliaji.
2) Msingi wa uchezaji si wa kitimu kama ilivyo katika uongozi wa soka ambao wengi wao huingia huko kwa maslahi binafsi na siyo kuendeleza soka.