Nilichojifunza kutokana na matokeo ya Taifa Stars Afcon

mwengeso

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2014
Posts
9,227
Reaction score
6,670
Yapo mengi ya kujifunza kutoka na jinsi timu yetu ilivyofanya kwenye mashindano ya AFCON:

1) Mabeki hawakuwa wanajuamini kiasi cha kushidwa kumiliki mpira kiufundi badala yake kubutua (au kuhamisha mbele) kila walipoupata mpira. Hivyo basi viungo wakashindwa kuchezesha washambuliaji.

2) Msingi wa uchezaji si wa kitimu kama ilivyo katika uongozi wa soka ambao wengi wao huingia huko kwa maslahi binafsi na siyo kuendeleza soka.
 


Ukweli ni kwamba Egypt hakukuwa na Police, DED, NEC na TISS wa kuwasaidia CCM

Harambee Stars Oyeeee😀😀😀

Algeria is Calling.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…