polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Na hiyo ndiyo mbinu aliyo kuwa akiitumia Magufuli.
Alitumia sana Watanzania wa chini na wenye uelewa mdogo kujipatia umaarufu huku maswala ya kitaalamu yakienda kombo.
Aliwadanganya sana kwa mengi na walimuamini sana kama Kinjeketile Ngwale wao na walidanganyika kwa sababu walio wengi hawakuwa na sehemu nyingine ya kupata habari sahihi zaidi ya kumtegemea yeye na yeye alitumia mwanya huo kuwadanganya na kuwarubuni.
Aliwarubuni kwa vitu vidogo vidogo sana na maneno mazuri mazuri na wakarubunika tena kirahisi na kuona huyu ndiye.
Watu wa mitandaoni walio wengi wanapata habari kutoka sehemu mbalimbali waliujua ukweli wa mambo hawakuwa tayari kudanganywa wala kurubuniwa na ndio maaana yakaletwa hayo ya vifurushi kupandishwa ili kupunguza watu mitandaoni maana hao wana sehemu nyingi za kupata habari tena nza uhakika.