CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Tarehe 27 tulifanikiwa wadau wachache kutembelea Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Nairobi.
Maonyesho yale ni makubwa sana na very organised ukilinyanisha na zile Nane nane zetu,nilijifunza mambo kadhaaa.
1. Kwenye upande wa mifugo jamaa wamewekeza sana,Kwa mfugaji ukitembelea yale maonyesho kwa kweli utajifunza na kujionea mambo mengi mno hasa Ng'ombe,Mbuzi,Nguruwe na ndege wengine.
2. Mpangilio wao huwa ni mzuri sana, Sehemu ya mababda ya mifugo ndio huko huko unakutana na mashine za mambo ya mifugo,Madawa,Mbegu na kadhalika.
3. Kwenye Kilimo sana wako vyema kwenye mbegu na madawa ya kilimo,hii ndio niliona sana.
4. Wanafunzi wanao visit maonyesjo wako more than serious na wanajua kuliko hata muonyeshaji,kuna Mabanda ya nguruwe nilikuta wanafunzi ndio wana mlecture muonyeshaji,huku kwetu ni tofauti tusha ua shule za kilimo.
5.Siku tumeenda ndio siku William Ruto akiwa na yeye amekuja uwanjani,aliingia saa 4 akatoka saa 11,ni kitu cha kushangaza kidogo kwa Raisi kukaa muda mwingi hivyo uwanjani.
6.Maaskari walikuwa ni wengi balaa labda kwa sababu Ruto alikuwa uwanjani,Ila nilicho jifunza kwao ni wako Busy sana na wao kutembelea Mabanda na kujifunza.
7.Watanzania nadhani kwenye furusa ya Biashara iko zaidi Kenya kuliko nchi zingine za EAC,hii ni kwa sababu hata purchasing power yao ni kubwa sana,Kenya ndio kuna pesa hasa kwenye Mazao ya chakula.
8.Wakenya wameinvest sana kwenye mifugo,na wanazalisha sana Hay,na kulishia mifugo yao na nyingine wana export.
9.Nilipenda Projects za Jomo Kenyata Univesity of Agriculture and Techinology,jamaa wana project nzuri na very uniq,huwezi wakuta wanahangaika na Kilimo na Ng'ombe bali vitu vile adimu namuhimu kwa jamii.
Mambo ni mengi sana ila mengine yanabakia Personal.
NB:Visiting kama hizi ni ghari ila kuan kitu unatoka nacho,huwezi jutia pesa zako kamwe.